Saturday 11 April 2020

IMPALA ONLINE REGISTRATION

8 comments:

  1. Nataka nijiunge hapo, ada sh ngapi kwa. Mwaka?

    ReplyDelete
    Replies
    1. Karibu, Impala College, tupo Arusha Usariver, ada zetu kwa mwaka ni 750,000 kwa wanafunzi wa day na 1,800,000 kwa wanafunzi wa boarding.

      Mwanafunzi wa day anapoanza anatakiwa kulipa tsh.200,000 na wa day anatakiwa kulipa ada tsh 400,000

      MENGINEYO:
      Sare ni tsh.45,000, nje ya t-shirt na kitambulisho ambavyo gharama yake ni tsh.21,000

      Form zetu zinapatikana mtandaoni pamoja na mawasiliano, tunawahudumia wanafunzi wote kwa huduma nzuri sana.

      Tafadhali njoo ubukue na Impala kwa future yako!!!
      KARIBUNI.

      Delete
    2. This comment has been removed by the author.

      Delete
  2. IMPALA COLLEGE OF TOURISM 2021-PROTOCALS:

    The fee for day scholar is 800,000Tsh and 1,800,000Tsh. for boarding

    Thank you.

    ReplyDelete
  3. Kwa upande wangu naona ada ipinguzwe kwa ajili ya kupata wanafunzi wengi

    ReplyDelete